Thursday, September 21, 2017

Dilailat amuandikia Eddy Kenzo ujumbe huu!!

Mwanadada anae chipukia kwa kasi Tanzania kwenye Sanaa ya mwana mitindo (model) @dilailat_taher amemshukuru msanii kutoka Uganda Eddy Kenzo kwa kushirikishwa kwenye video ya msanii huyo ijulikanayo kama Yelee.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwanadada @dilailat_taher amepost kipande cha kwenye nyimbo hiyo akiwa kama video vixen, nakuandika ujumbe huu..

Tuesday, September 12, 2017

Vera Sidika anafuata nyayo za Alikiba

Mwanamitandao na video vixer kutoka nchini Kenya, Vera Sidika ameamua kufuata nyayo za msanii wa muziki kutoka Tanzania Alikiba kwa kuto kuwa na mtu yoyote anayemfuatilia kwenye mtandao wa kijamii.
Akaunti ya Vera sidika
    
Ukitazama  akaunti ya Instagram ya mrembo huyo ambayo ni mpya ina watu 16k wanomfuatilia,  Vera ameamua kufuta watu wote aliokuwa nao upande wa following siki chache zilizopita.
Akaunti ya Alli Kiba


Akaunti ya mtandao wa Instagram wa hasimu wake, Huddah Monroe ilikuwa verified na huwenda naye mrembo huyo anapigania kupata nafasi kama hiyo baada ya kudukuliwa akaunti yake ya mwanzo.

Wednesday, September 6, 2017

DILAILAT AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YA SAIDA KAROLI

Mwanadada anaechipukia kwenye mitindo ya uigizaji (model) maarufu kama @dilailat_taher  apata shavu baada ya kupendezesha Video ya wimbo wa Saida karoli (Kichaka) ft Belle9 & Gnako.

Amesema,...


Dilailat





















"Safari Yangu " series coming soon !!


UZINDUZI wa Tamthiliya ya kusisimua "Safari Yangu" utakao fanyika Tar 9/9/2017 katika ukumbia wa Makumbusho ya Taifa Posta. Muda ni kuanzia Saa 1usiku 
Bila kusahau kutakuwepo na Burudani mbalimbali za Sana'a na kadhalika.