Saturday, May 25, 2013

UJUMBE WA MGANGA WA DIAMOND PART I

MGANGA WA DIAMOND: "Sisi wanadhuoni tunaamini katika Mungu asemavyo hata mwisho pia unaweza kufanana na mwanzo ila wenyewe unatawaliwa na majanga"


Huu ni ujumbe aliotuandikia hivyo tunaendelea kukusanya habari zake zaidi.

Kaa tayari kwa stori nzima.