Hatimaye Filamu ya MASUMBUKO nafasi ya kuingia katika mashindano ya Filamu ambazo zitakutanishwa kutoka Nchi mbalimbali pale Zanzibar katika Tamasha la Nchi za Majahazi ZIFF (Zanzibar International Film Festival)
Ni Filamu ya Dakika 5 ambayo imetengenezwa katika ubora wa hali ya juu na kampuni ya Filamu Nchini Tanzania PLAN B SOLUTION.
Filamu hiyo ya MASUMBUKO itakuwa katika mashindano hayo ambayo yatakayofanyika Tar 16 mwezi wa 7.