Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika kundi la Waswazi tz ambao wanafanya vizuri katika miondoko ya mduara, Dream Malaika ni kijana ambae anakuja vizuri katika tasnia ya muziki wa bongo fleva akiwa anafanya miondoko tofauti ya muziki R&B, Zuku pamoja na Pop.
Dream Malaika leo anatambulisha wimbo wake mpya katika studio za radio ya Efm unaokwenda kwa jina la AMECHELEWA.
Ni wimbo ambao una maudhui makubwa sana na wenye ladha tofauti katika muziki wa kizazi kifa hapa nchini Tanzania.
Dream Malaika amesema kuwa, lengo la kuachia wimbo wake huu mpya ni baada ya kuwa kimya kumuda kadhaa kutokana na kazi za kundi na majukumu mengine ya kimaisha ambayo yamemfanya kutoweza kufanya kazi yake, akiwa katika kundi la Waswazi ameridhihirisha kuwa huu ni mwanzo mzuri sana kwake katika kuanza vizuri mwaka 2015 akiwa ameweza kupanga mipango yake vizuri yeye binafsi pamoja na kundi lake zima la Waswazi katika kuonesha uwezo wao wa kimuziki hapa Nchini.

DREAM MALAIKA