Friday, May 10, 2013

NG"OMBE MKUBWA DUNIANI

Amini usiamini ndio tayari imeshatokea, huyu ni Ng'ombe mwenye ukubwa kama Tembo mtoto!
Ni Ng'ombe wa ajabu na mkubwa kuliko wote mwenye urefu wa futi 6 hapa hakuna ujanja wowote ambao umetumika katika hii picha.
Huyu Ng'ombe ni moja kati ya maajabu ambayo yanaendelea kutokea hapa Duniani hivyo nadhani hakuna ambae atabisha huku wakiamini kuna viumbe vingine ni vikubwa sana tofauti na kawaida ilivyozoeleka mfano Samaki mfano wa NYANGUMI ukiweza kukubali hilo naamini kwenye hili hatutashindana.