Ni katika ukurasa mwingine tena leo habari zilizo ibuka kwa kasi kutoka kwa H. BABA msanii mwenye makeke sana anapokuwa jukwaani na aina yake ya muziki anaofanya wiki iliyoisha alipokuwa katika mahojiano na kituo cha Televisheni hapa nchini Tanzania alisikika akisema kuwa kwa sasa kuna mambo ambayo yanatokea kwa wasanii wa kizazi kipya kwenye suala la kupandisha bei za kufanya show tofauti na hapo nyuma ili kutaka kwenda sawa na Ma-promoters wao.
Hali imekuwa kama changamoto kwa msanii H. Baba inasemekana aliibuka na kusema kuwa yeye atajitoa kwa kupunguza bei za kufanya show kwa Ma-promoters hao na kuendelea kupiga mzigo kama kawa akiwa katika kituo hiko cha televisheni.