Mwanamitandao na video vixer kutoka nchini Kenya, Vera Sidika ameamua kufuata nyayo za msanii wa muziki kutoka Tanzania Alikiba kwa kuto kuwa na mtu yoyote anayemfuatilia kwenye mtandao wa kijamii.
 |
Akaunti ya Vera sidika |
Ukitazama akaunti ya Instagram ya mrembo huyo ambayo ni mpya ina watu 16k wanomfuatilia, Vera ameamua kufuta watu wote aliokuwa nao upande wa following siki chache zilizopita.
 |
Akaunti ya Alli Kiba |
Akaunti ya mtandao wa Instagram wa hasimu wake, Huddah Monroe ilikuwa verified na huwenda naye mrembo huyo anapigania kupata nafasi kama hiyo baada ya kudukuliwa akaunti yake ya mwanzo.