Thursday, September 21, 2017

Dilailat amuandikia Eddy Kenzo ujumbe huu!!

Mwanadada anae chipukia kwa kasi Tanzania kwenye Sanaa ya mwana mitindo (model) @dilailat_taher amemshukuru msanii kutoka Uganda Eddy Kenzo kwa kushirikishwa kwenye video ya msanii huyo ijulikanayo kama Yelee.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwanadada @dilailat_taher amepost kipande cha kwenye nyimbo hiyo akiwa kama video vixen, nakuandika ujumbe huu..