Tuesday, December 10, 2013

YASEMEKANA MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

 
Nchini Tanzania Muingiza Nguli Mzee Small inasemekana amefariki dunia baada ya habari kusambaa kupitia mtandao wa kijamii Facebook, kikubwa ni habari ambazo hazina uhakika wa kutosha kabisa juu ya suala hili.
 
Tutaendelea kuwajulisha.