Msanii Peter Msechu ndani usiku wa Weusi New Maisha Club akiwa anamsindikiza Rapa G. Nako katika utambulisho wake wa Video ya MAMA YEYOO afanya kufuru akiwa jukwaani wakati anaendelea na show.
Ni kitu ambacho wapenzi wa msanii huyo hawakuweza kutegemea kama kingetokea na kuwaacha midomo wazi ndani humo baada ya kucheza sana huku akiwa anaimba aina ya muziki wa miondoko ya sebene kucheza na kujiangusha chini zaidi ya mara tatu huku watu wakiwa wanashangilia sana.
Ni msanii ambae usiku wa jana nae aliweza kufanya vizuri sana kwa muda mfupi tu akiwa jukwaani na kufanya show hiyo ikiwa imechangamka.