Masanii Ben Po apata mashabiki wengi baada ya kufanya track moja na Rapa kutoka katika timu ya WEUSI G. Nako inayokwenda kwa jina la MAMA YEYOO, Ndani ya New Maisha hapo Club Ben Po alijikuta akikumbatiwa na Watoto wa kike kwa wingi baada ya kuimba kiitikio cha MAMA YEYOO huku akiwa na G. Nako jukwaani wakiendelea na show.
