
Ilikuwa siku ya Jumapili ndani ya ukumbi wa New Maisha Club, kulizuka bonge la ugomvi kati ya rapper Chidi Benz na Kala pina kutoka katika Kikosi cha Mizinga ambapo nao walikuwa katika kufanya show mahala hapo. Tukio lilitokea baada ya Chidi Benz kupanda kwenye stage bila hidhini wa taarifa yeyote ni kitendo ambacho kilitokea ghafla na washabiki mwanzani walikuwa wakidhani show inaendelea, Ndipo Chidi Benz aliweza kumnyang’anya microphone MC wa show hiyo wakati Nikki Mbishi alipokuwa kwenye stage. Haya ni maneno ya Chidi benz "Mmoja kati ya watu waliokua kwenye steji alinisukuma, kisha Kala Pina akampiga ngumi na kuanguka kutoka kwenye jukwaa"
Tukio hilo linaanzia kwenye dakika 2:50 Usiku ambapo Kalapina anasikika akisema “asiyehusika na show ashuke!” Wakati Chidi Benz akiwa anaendelea kuongea pale kwenye stage mpaka kufikia Microphone ya kuzimwa.
Ifuatayo ni kauli ya Chidi Benz kuhusu tukio hilo:
“Nilienda maisha mida flani kama ya saa tisa hivi sawa, nikamuona yule Nikki mbishi, halafu nikaona aaah sijawahi kumpa sapoti hafu mbali ya hiyo, namsikiaga kuna mtu anatutukanaga, anamtukanaga Nikki Mbishi yule mtoto ananitukanaga na mimi unanielewa, kwahiyo nikasema anyway for the support, na yule ni kama mdogo wangu, mi natokea pale kwenye stage, i know kwa kawaida mi nikitokea sehem lazima watu washangilie sana na watu wameshangilia sana ile club maisha, so nia yangu ilikua mimi pale ni kuchukua ile mic, ki ukweli hata nilikua sijui ni show ya nani, nachojua nikwamba nilimuona Nikki nikazunguka halafu kutoka VIP kwa nia moja yaani kabisa kwamba namfata yule Nikki pale nikitokea stage najua watu watapiga yowe nampa sapoti pale nachana nini bana sapoti kwa Nikki Mbishi nini halafu mimi najikata, nikachukua mic kwa zilla ni kwamba watu wameshangilia nikapiga verse kidogo pale watu wakashangilia, nikataka kusema bwana shout out kwa nikki mbishi nimependa show yake anavyofanya"
Yetu ni hayo jamani...
http://laivu.com/maraha/video-kala-pina-ampiga-ngumi-chidi-benz-maisha-club-kauli-ya-chidi-benz-na-ya-nikki-mbishi-audio/