Mrembo Lisa Jesen ambae alikuwa ni Redd's Miss World Tanzania 2012
inasemekana kuwa ni MJAMZITO kwasasa hivyo anatarajiwa kuitwa Mama hivi karibuni.
Kutokana na habari hizi bado tunaendelea kuangalia huku na kule ili kupata uhakika zaidi pamoja na kukutana nae mwenyewe Mrembo huyo ambae hapo nyuma alitamba sana kutoka katika Filamu ya More than pain ambayo alikuwa amecheza na marehemu Steven C. Kanumba natumai wapenzi wa filamu zetu za hapa nyumbani mtakuwa mmenisoma vyema.
Hivyo basi katika fununu hizi ambazo zinaendelea imekuwa ngumu sana kwa watu kumaini na kupata uhakika kutokana na kukosha ushahidi wowote hata picha zake kumuonesha kuwa mjamzito na inaonekana kuwa amekuwa sio mtu wa kuonekana mara kwa mara ingawa akiwa huku anaendelea kufanya shughuli zake za kawaida...
"Najuwa wengi watataka kujua ni nani mmiliki wa hiyo kitu ambayo anayo Lisa hahahahahah kwa hilo tuepuke umbeya kwanza kwani bado mapema sana".
Endelea kufuatilia...