Ni kweli kabisa kutoka katika huu ujumbe ambao umeshikiliwa na hawa watoto katika kujaribu kutetea haki zao, hii ni kasumba ambayo imeingia kwenye jamii tuliokuwa nayo kufikiria kuwa Watoto wa mitaani ni watoto ambao wameshindikana na kuamuua kukimbia makwao na kuambua kuishi wenyewe kwa kukosa uhuru si kweli.
Hawa watoto wanahitaji msaada kwa hali na mali kwa ni ni fedheha kubwa sana kwa Taifa letu kwa wageni watoka Nchi nyingine na vyimbo vya habari vya Kimataifa katika kuangalia Maendeleo na uchumi wa Taifa.
Hili ni swali kwetu sote bila kuweka mipaka au madaraja kwani kila mmoja anahusika juu ya hawa watoto katika kuwasaidia kwa namna moja au nyingini uwe Kiongozi wa Dini, Serikalini au Mwanachi wa kawaida unapaswa kulifahamu hili na hapa hakuna suala la kutuiana mpira katika eneo la hatari katika muda wa majeruhi.
Watoto hawa wanaishi katika mazingira hatarishi sana na si kwamba hakuna anaewaona bali kila siku tunawaona na tumewazoea katika macho yetu kama mabango ya matangazo kwa kweli sio vizuri hawa ni malaika wa mungu jamani.
Nijukumu letu sote wa sio la mtu mmoja katika kuhakikisha watoto hawa wanapatiwa mbinu mbadala katika maisha yao.
Fikiria kwa mfano unamuona mtoto mmoja wapo katika hizi picha ambae anakuhusu ni nini utakacho amua kukifanya kwa wakati huo?
Tusiwaangalie sana Watoto ambao wapo katika vituo tayari ambao wana uhakika wa kupata Ugali na kitanda cha kulalia bila kuwafikiria hawa ambao hawana hata ndoto yeyote nzuri katika maisha yao na kutojua kitanda kizuri wala chakula chenye uhakika kama wenzao ambao wapo katika Himaya maalum katika uangalizi mzuri kwao.

INASIKITISHA SANA NAIMANI KWA PAMOJA TUNAWEZA.