Hii ni nafasi pekee kwa Wana-hip hop kwa kuingia Studio na kufanya track kwa gharama nafuu sana.
Hii ni kwaajili ya kukuza na kueneza Muziki wa Hip Hop Tanzania, hizi ni harakati ambazo zinafanywa chini ya Studio ya HEBRON iliyopo Sinza.
Bila kusita ingia mazima na kuanza kufanya track za ukweli na zenye kiwango cha hali ya juu bila kusahau gharama ni Tshs 20,000/= ukiwa na Beat yako mkononi.
Sasa mlango uko wazi kwa wale ambao waliokuwa wanatafuta nafasi hii kwa kipindi kirefu bila mafanikio huna sababu ya kusubiri tena...