Ni filamu fupi ya dakika nne ambazo zitakufanya uwe na hamu ya kuitazama kila mara, Ni filamu anambayo inamuhusu kijana Masumbuko ambae ana madeni mengi na kujaribu kuwakimbia watu ambao wanamdai, Je unadhani Dawa ya deni ni kukimbia?....Fatilia