Watoto ni sanaa ya leo hivyo tuwapende na tuwathamini pia! Kwa wasanii na Wadau wa kazi za filamu msione kama usumbufu mnapowaona mkiwa katika maeneo ya kazi kwani mkitumia Lugha nzuri watakuwa marafiki wazuri sana kwenu (Nao hujifunza kwa kuona kupitia hii sanaa)
"TUWAPENDE"