NI BAADA YA TUHUMA NZITO AZINDUA WIMBO MPYA NEW MAISHA CLUB JANA USIKU
Si mwingine ni Lord Eyes baada ya tuhuma nzito iliyosemekana kuwa alifanya uporaji katika gari la Msanii mwenzake iliyompelekea kulala kituo cha polisi siku chache zilizopita habari zilizokuwepo kuwa Mwanaume huyo jana aliweza kupiga bonge la shoo maeneo ya pale NEW MAISHA CLUB kwa kuzindua wimbo wake mpyaaaaaaaaaaaa katika ile shoo ya WEUSI ikiwemo na Uzinduzi wa BUM KUBAM na sasa Lord Eyes yupo mikono mfukoni mwenye amani mpya katika maisha yake.
Lord Eyes ni mmoja kati ya wasanii kutoka katika Chama cha Weusi ambae nae akiwa msatari wa mbele katika kuonesha Harakati kwenye muziki wa Hip Hop kutoka Arusha, Tanzania.
Nini kilichojiri zaidi utapata kujua mengi kuhusu Lord Eyes.....
