AT msanii mkali katika miondoko ya muzikiwa mduara usiku wa jana katika mkesha wa mwaka mpya msanii huyu alikuwepo pande za Tanga Handeni katika kuuaga mwaka 2014, Shoo yake hiyo alikuwa ikisindikizwa na wasanii wa bongo fleva akiwemo RAMLIFE, SAJO.
Shoo iliamza majira ya saa nne usiku katika ukumbi wa Makuti hall mpaka mishare ya saa 9 usiku huku watu wakiwa na hamu ya kuendelea na shoo hiyo.