Wakizungumza na mtandao wa kijamii waandaaji wa filamu hiyo DW (Dragon Wush), PLAN B SOLUTIONS (T) LTD, STEVOO ENTERTAINMENT wakisema kuwa,
Filamu hiyo inahusu vijana wanne ambao wametoka katika familia moja huku wakiwa wanaishi katika hali duni, maisha yanazidi kuwa magumu baada ya Dada yao kupata maradhi mapafu huku wakiwa wanatakiwa kuwajibika katika kuhakikisha wanamsaidia Dada yao baada ya Hospitali kuambiwa gharama za matibabu kuwa kubwa, hivyo katika vijana hao kila mmoja anaamua kutafuta hela kwa njia yake ili kunusuru maisha Dada yao, Zaidi filamu hii inakunakisha kwa mapigano mazito utakayo yaona ndani...

Uzinduzi huo ulisindikizwa na Burudani kemkem kutoka kwa watumbuizaji kabambe wakiwemo RAMLIFE na wasanii wengineo.
Hadi tunapofikia hatamu uzinduzi ulifana vya kutosha na kustaajabisha wadau wote waliofika ukumbini na kusema MORE THAN LOVE haijawahi kutokea.