Thursday, August 15, 2013

NISHA AWA MSUSI.


Ukiachilia kule tulipokuwa tumemzoea kutokana na umahiri wake wa kuigiza katika Tasnia ya filamu hapa nchini kwetu Salma Jabu almaaru kama Nisha, Sasa ameweza kufungua saluni yake mwenyewe na kujiendeleza zaidi katika  maisha.
Hii ni changamoto kwa Wanawake wengine katika kujikwamua kimaisha katika kujishughuliza na vitu tofauti ili kufanya maisha yao yawe katika mazingira mazuri.
HONGERA NISHA