Thursday, August 8, 2013

KING MAJUTO ABADILIKA KUWA MSHAURI...


Mchekeshaji Gwiji na mahiri katika Tasnia ya Filamu Tanzania kwenye safu ya uchekeshaji, Amri Athumani Majuto almaarufu kama KING MAJUTO anaamua kuja na ujio tofauti kabisa kutoka katika filamu mpya na ya kusisimua iitwayo MUME BORA, humu anaonekana kuwa Mzee mwenye busara sana na mwenye kumshauri Bosi wake mara kwa mara wakiwa kazini mpaka nyumba kutokana na matatizo ambayo anayapata kutoka kwa mkewe, King Majuto anaonekana kuwa na kazi ngumu sana katika kuhakikisha kurudisha furaha ya Bosi wake na kuleta maelewano ndani ya Ndoa hiyo....
Kaa tayari...