
Track hiyo kwasasa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio huku akiendelea kufanya michakato yake mingine.
Mbali na hayo juu ya suala la kunywa na kulewa na kwenda katika studio za kituo kimoja cha televisheni kwaajili ya kufanya mahojiano alisema
"Nashangaa sana kusikia kwamba wanasema Juma Nature amekuja studio amelewa, mimi sikulewa ila nilikunywa, mtu alielewa hawezi kuendesha gari na kwenda moja kwa moja hadi studio kwaajili ya kufanya Interview hivyo basi, mi nilitoka nyumbani na gari langu mpaka studio kwahiyo naamini sikulewa na nilikuwa najitambua vizuri kabisa"
Hayo ni yalikuwa maneno ya Juma Kasim Nature.