Wednesday, December 26, 2012

TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU...

Lile zoezi la kutuma profile za wasanii ambao ni Up coming katika email yetu tayari limeanza kujitokeza kwa kasi hivyo kama unatembelea blog yetu usione kimya tupo katika kuzipangila vizuri na tutajulishana kupitia Email...
Unapotuma profile yako hakikisha unatuma vitu vifuatavyo: 
  •  Jina kamili na Lingine
  • Umri wa kuzalia
  • Uraia
  • Kabila
  • Dini
  • Mkoa uliotokea
  • Urefu
  • Unapenda kufanya nini
"TUPO PAMOJA NAAMINI TUNAWEZA"