HIZI NI HARAKATI ZA KIMUZIKI KATIKA MAISHA
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya SAJO baada ya kuwa na kimya cha muda mrefu kutokana na mambo ya masomo hivyo basi wakati huu anajipanga vyema katika kuuanza kwa kasi ili kwenda sambamba na waliokuwa katika hizo harakati.
Ni msanii ambae anafanya muziki wa aina ya Hip Hop mwenye swaga za aina yake siku ya leo tumeweza kupata yake machache juu ya kujipanga na mwaka ujao...
"Yap, sasa hivi niko katika harakati za kufanya ngoma mpya kabisa kwaajili ya ma-fans wangu baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sana, nawaahidi kufanya kitu ambacho watakipenda na kuamini ukimya wangu haukuwa ubure bali ni maandalizi madogomadogo na masomo ila niko poa na wajipange katika namba ambazo zinabadilika baada ya siku chache kutokea leo"
Huyo ni SAJO kwahiyo mkae tayari kwa mengine tutaabiana....
