Ravy Genius
Ni msanii wa muziki wa kizazi kipya aina ya miondoko ya Hip Hop ambaye alikuwa ana kiu sana ya kutaka kuwaonesha wadau wa muziki huo uwezo wake.
Hapa unaweza ku-download na kusikiliza wimbo mpya wa Ravy Genius.http://www.hulkshare.com/qv87v3f3fqbk