Ni hafla fupi ambayo imeandaliwa na Msanii Mad Ice, imeweza kuwakutanisha baadhi ya watu mbalimbali katika utambuulisho wa awali wa video yake mpya ya Everything I do kwa marafiki zake wa karibu ikiwa chini ya muongozaji Eryn Epidu.
Hafla hiyo iliweza kuudhuriwa na Dj Fetty, Dj Choka, na timu nzima iliyoandaa video hii mpya.
Haya ni baadhi ya matukio katika hafla hiyo...
Endelea kufuatilia ili kupata Link ya Video...