Wednesday, December 17, 2014

MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA MAD ICE....



Hivi ndivyo shughuli ilivyokuwa katika maandalizi ya Video mpya ya Mad Ice, endelea kufuatilia matukio zaidi.
Ni video ambayoilikuwa na maandalizi ya kipekee zaidi na ufanisi mkubwa sana katika kuhakikisha maandalizi hayo yanakwenda sawa mpaka kuhakikisha zoezi hilolinakamilika.
Endelea kufuatilia upate kujua habari na matukio mbalimbali ya ujio wa video mpya ya Mad Ice na pia utaweza kufahamu ni kampuni gani ambayo ameweza kufanya nayo kazi.