TUPIGE VITA EBOLA TANZANIA, AFRIKA NA DUNIA KWA UJUMLA.
Ramlife
Wote kwa pamoja tushirikiane katika kuutokomeza ungonjwa huu hatari wa Ebola Tanzania, Afrika na Dunia nzima,Mimi tayari nimeshaanza natumai wewe utanifata nyuma yangu katika kupiga vita ugonjwa wa EBOLA.