SHINDAKAYA VIDEO MPYA KABISAA……!
Umeshawahi kutembea barabarani
ukakuta kibao kimeandikwa Tembea pole pole WATU KAZINI……?
Bila shaka baada ya kuangalia Kichupa
cha ngoma hii utakubaliana nami kwamba watu walikuwa kazini, nawe unatakiwa
kufungua macho yako polepole ukiangalia video ya SHINDAKAYA.
Ipe nafasi pia akili yako itafakari ujumbe wa Sindakaya. Nakwambiaje!
Wakikutana watu wanao jua na kuipenda kazi yao lazima ukubali. Shindakaya ni
nyimbo inayogusa matabaka yote katika jamii yetu.
Ni nyimbo yako ipe sapoti ya nguvu
ipe Promo kizuri kula na Ndugu yako Like ngoma kisha warushie na kuwajuza
wengine.
UJIO MPYA SHINDAKAYA NOMA!