Lota Mollel aonekana kutia fola katika shindano la kumtafuta Mr Tanzania Next Handsome na kuibuka Mshindi katika mashindano hayo mwaka huu.
Hivyo Mr Tanzania next Handsome 2013 kwasasa anatarijiwa kwenda Nchini Lagos Nigeria kwaajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Mr Africa hapo mwezi ujao tar 14.
Hii ni nafasi ya pekee kwa mwanamitindo huyu ili kuweza kwenda kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania kule nchini Lagos Nigeria
NIGERIA WAJIPANGEEEEEE..

Lota Mollel ni kijana ambae ana historia nzuri katika mashindano haya mitindo sehemu tofauti kwenye Runway ambazo zimekuwa zikitokea hapa nchi, pia amekuwa akionekana katika matangazo mbalimbali Billboard kutokana na kazi nzuri na juhudi aliokuwa nayo.
Na amekuwa na sifa ya kutoa mafunzo kwa kwa wanamitindo mbalimbali ambao wanaochipukia katika kuwasaidi ili kutimiza ndoto za wanaochipukia katika sanaa hii ya Mitindo
LOTA MOLLEL MR TANZANIA NEXT HANDSOME 2013
.