BONGO MOVIE AIBU!
Siku ya leo mpaka inamalizika kwa wale Wadau na Waandaaji wa Filamu hapa nchini wamekuwa wakiikosoa sana hii picha ambayo imepigwa nyuma ya pazia katika enero la tukio ambalo Wasanii hao walikuwa wakiwa kazini.
Kama picha inavyoonekana Jambazi akiwa yuko pekupeku (hana viatu) na kusimama katika hali ya uzembe kutokuwa mkakamavu na anachotakiwa kukifanya kama picha inavyoonesha hapo.
Kila mtu amezungumza lake jun ya picha hiyo ambayo imewekwa katika mtandao wa kijamii facebook ili kutaka kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa Wapenzi wa filamu zetu walioko sehemu mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi.
Swali linakuja kama ifuatavyo, Leo hii tunaona kosa kama hili limejitokeza ikiwa kama Mdau na Muandaaji wa filamu hapa nchini kwetu najua inakuuma sana kuona hali kama hii, pia nina imani hata huyo Dada ambae anaonekana hapo chini bila ya kukosea ni IRENE UWOYA atakuja kujisikia vibaya sana akija kugundua kosa kama hili ikiwa nae ni msanii mkubwa sana na mwenye kupendwa na watu wengi hapa nchini nina imani hata na nchi za jirani na Tanzania na kujiona ni "MZEMBE" mpaka kusa hilo linatokea yeye halioni.
Tukizungumzia Bodi ya Filamu Tanzania, Je ni nini ambacho wanakagua katika Filamu zetu ?
AIBU.