Kutoka katika Uandaaji na uongozaji wa filamu Nchini Tanzania, ALLY KASONGO RAM almaarufu RAM kwa upande wa Tasnia ya filamu hapa Nchini kwetu, lakini tukigeukia katika ukurasa wa pili kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya namaanisha Bongofleva anafahamika kama Ramlife.
Kwasasa Ram ameamua kuvunja ukimya huo baada ya kuachia wimbo wake ambao unakwenda kwa jila NADATA NAWE, inasemekana kuwa wimbo huo una muda wa takribani mwaka sasa bila kuachia katika kituo chochote cha radio hapa kwetu Nchini, mbali na hayo hakusema ni kwanini na hili lilikuwa nje ya uwezo wake.
Kwahiyo hivi karibuni ameamua rasmi kuachia ngoma yake hiyo kupitia katika blogs na Websites mbalimbali na kuvunja ukimya wake aliokuwa nao kwa kipindi cha muda fulani.
INGIA HAPA...(Kusikiliza wimbo)
