Ni baada ya ngoma kali kutoka kwa mwana rapa Izzo Business iliyokwenda kwa jina la ONGEA NA MSHUA kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio,.
Sasa ni ujio mwingine tena kutoka kwa WAJASILIARHYMES baada ya kusubiri majibu kwa muda mrefu walioahidiwa kutoka ka Izzo Business katika track yake ya ONGEA NA MSHUA na kuona kimya, nao wanakuja na Track mpya inayokwenda kwa jina la HAJAONGEA NA MSHUA kutokana na ukimya huo kuashiria kuwa maswali ya Izzo Business hayakutendewa kazi.
Wajasiliarhymes ni kikosi cha watu watatu ambao wanakuja vizuri sana katika muziki wa Hip Hop hapa Tanzania.
Track hii mpya ya WAJASILIARHYMES itapatikana katika Blogs mbalimbali.
Track hii mpya ya WAJASILIARHYMES itapatikana katika Blogs mbalimbali.
