Thursday, May 16, 2013

HII NI KALI KWA LIL WAYNE

Msanii Rapa Nchini Marekani afanya kufulu kwenye Tour yake aliokuwa nayo wiki hii iliyopita baada ya kufikia katika Hotel fulani yenye NYOTA 5 ambayo ndani ya Hotel hiyo kulikuwa na vitu sio vya kawaida.

Ndani ya Hotel hiyo Rapa huyo alitaka chumba chake kiwe na ukubwa wa Miraba 1000 ya urefu wa futi, mbali na hapo kiwe ni tofauti kabisa na mlango wa kwenda chumba cha atakacholala.

Wakati huo huo alihitaji sehemu ya kubadilishia nguo zake bila kuingiliana mtu yeyote ambae atakaekuwa nae katika Tuor hiyo

Mwisho akiwa anahitaji chupa mbili za kinywaji cha Perrier-Jouet champagne and Hennessy cognac.