Wednesday, December 19, 2012

UZINDUZI WA BUM KUBAM "WIMBO DVD". DOCUMENTARY YA NIKKI WA PILI SIKU YA JUMAPILI TAR 23/12/2012 NDANI YA MAISHA CLUB, [USIKU WA WEUSI]




  Baada ya kipindi cha muda mrefu kwa wale wapenzi wa muziki wa Hip Hop Tanzania, siku ya Jumapili Tar 23/12/2012 ni siku ya Uzinduzi wa Documentary ya BUM KUBAM ya NIKKI II.
Ikiwa kama Mwanaharakati ni siku ambayo utapata kufahamu njia mpya kabisa ya Uuzaji wa kazi za wasanii bila kusahau pamoja na kutambulishwa kwa wimbo mpya wa LORD EYEZ siku hiyo....
Kama Mwanaharakati kweli natumai huwezi kukosa siku hii ya Tar 23/12/2012..
 Imeandalia na FICHUKA DEVELOPMENT AGENCY LTD. fichuka.com