Saturday, December 22, 2012

HAYA PALE KENYA! NI MZURI! MKALI WA VOKO!!!!!

WAVINYA a.k.a "Beetow"
Ni msanii kutoka Nchini Nairobi Kenya ambae kwa sasa yuko kwao kimasomo na sasa yuko katika mitihani, Wavinya kwasasa tayari ameshamaliza video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina "COME TO ME" ambayo imeandaliwa na kampuni ya PLAN B SOLUTION LTD.
Akiwa Nairobi Kenya Wavinya anasema haya..
"Kwa kweli nina shukuru sana kwa kuweza kufanikisha zoezi la video yangu mpya hapo mwanzo mpaka mwisho na kwa ushirikiano wa kutosha kutoka katika kampuni ya PLAN B ambayo wamekuwa wakiniandalia project yangu, hivyo nategemea kupata support ya kutosha kutoka kwa Watanzania, hivi sasa niko katika mitihani nyumbani Nairobi Kenya When I finish this exam nitakuja Tanzania na kuiachia rasmi Video yangu mpya....Asante Tanzania"

Hayo ni machache ya Wavinya So Watanzania kaeni mkao wa kumpokea Wavinya.