Pata video mpya ya Ramlife "Nadata nawe" ni baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu sana lakini lengo ilikuwa kufanya kitu kilichokuwa bora zaidi.
Ebu tazama kichupa kikali kilichetengenezwa kwa umahili wa hali ya juu huku ikiwa chini ya Dir Bancell Otieno kutoka Experience Picture.